Admission

4 comments:

  1. Nilikua nauliza je naweza fanya mtihan wa level 2 kwa kozi ya umeme wa magari...maaana nlisoma then sikufanyia mtihan kupitia mradi wa UNICEF..visibitisho vyote ninavyo kama nilisoma umeme huo wa magari....je inawezekana nije kuomba hapo na kufanya mtihani huo wa kitaifa wa level 2 umeme wa magar (auto electrical)naomba kujua

    ReplyDelete
  2. Hizo naomba za simu hazipatikani.
    Pia ni vema kuweka tarehe ya kuanza mafunzo

    ReplyDelete
  3. Wekeni mawasiliano ya uhakika.
    Nataka kujua chuo kinafunguliwa lini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nami mwanangu nampeleka hapo na tarehe ya kufungua chuo ni Leo 25/01/2025. Hii ni Kwa mujibu wa fomu ya kujiunga na chuo ya mwaka huu

      Delete